Budapest rull (Swissrull marengs) ya matunda na nuts
Budapest ni cake ya marings, almond na matunda ni rahisi kutengeneza na haichukui muda mrefu. Mahitaji: Ute wa mayai 6 Sukari dl 3 Vanila sauce ya unga pakt 1 Matunda yoyote upendayo Almond 200g Cream boksi moja Matayarisho: - Washa oven ipatemoto wa 170 C - Saga ute wa mayai yako, sukari na vanila sauce kwa kutumia mix mpaka iwe marings - Saga almond pembeni na usizisage sana zisiwe unga - Andaa pan yako ya (30-40cm) utakayoweka kwenye oven - Weka kwenye pan yako ya (30-40cm) mchanganyiko uliosanga wa ute na sukari na mwagia almond zako kwa juu ya ule mchanganyiko sambaza kote juu ya pan kisha weka ndani ya oven kwa muda wa dk 20 hadi 22 -Baada ya dk 20-22 toa wacha ipowe kicha igeuze juu chini kwa kutumia karatasi lililo saizi na hy keki kuzuie zile almond zisimwagike -Saga cream yako mpaka iwe povu zito kisha mwagia pale juu ya keki uliokwisha igeuza juu chini weka matunda yako uliyokatakata saizi ndogondogo -Zungusha (roll)...