MAKANDE

Mahitaji:

  • Mahindi yaliyo kobolewa
  • Maharage 
  • Chumvi
  • Tui la nazi 
  • Kitunguu nusu
  • Nyanya moja 

Mapishi:

  • Chemsha mahindi, maharage na chumvi mpaka yaive.
  • Katia kitunguu na nyanya kwenye mchemsho wako.
  • Kitunguu na nyanya kikiiva weka tui la nazi na likiiva chakula chako kitakua tayari.
NB: Unaweza weka magadi kwenye kuchemsha mahindi na maharage lakini sio lazima. Magadi yanasaidia mahindi na maharage kuiva haraka.
  • mahindi ya kukoboa

    makande yakiwa tayari

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAMBI ZA SUKARI

Biriani (Biryani)

VISHETI