VIAZI VYA OVEN

MAHITAJI:

  • Viazi
  • Vitunguu maji
  • Uyoga
  • Karoti
  • Hoho
  • Chumvi
  • Mmafuta ya kupikia
  • Nyama ya kuku, ngòmbe au samaki

MAANDALIZI:

  • Washa oven 200°
  • Menya vitu vyako vyote, osha vizuri na kukata viazi katikati (mara mbili) na vingine katakata vidogo vidogo kama utakavyoona kwenye picha.
  • Chukua tray au bakuli inayoingia kwenye oven kisha weka mchanganyiko wote wa mboga, viazi na nyama kisha mwagia mafuta kidogo juu yake.
  • Weka kwenye oven kwa muda wa dk 45 kisha tayari kwa kuandaa kula.


    maandalizi
    tayari kwa kuweka kwenye oven


    tayari kwa kula

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAMBI ZA SUKARI

Biriani (Biryani)

VISHETI